Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Serikali imesema kuwa vyazo vya maji vinatakiwa kulindwa kwa wenye viwanda wanatakiwa kulipa tozo zilizoaininishwa kisheria kutokana na wenye viwanda kutumia kiasi kikubwa cha maji.
Hayo ameyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo wakati alipokutana na wenye viwanda katika Ofisi ya Bonde la Wami/Ruvu jijini Dar es Salaam, amesema kuwa watamshauri Waziri Mwenye dhamana kuwa kuwepo kwa tozo moja kwa wenye viwanda nchini kulipa katika mabonde.
Amesema kuwa mabonde Tisa nchini ndio wana mamlaka ya kuchukua tozo wa ajili ya kuhifadhi maji kwani kuwepo kwa hayo maji inatokana na mabonde hayo kulinda vyanzo vya maji.
“Mabonde haya yanahitaji kugharamia vyazo kwa maji hivyo wenye viwanda wasipolipa shughuli za mabonde hazitafanywa katika ufanisi wa kulinda maji hayo wanayoyatumia katika uendeshaji wa viwanda vyao”amesema Profesa Kitila Mkumbo.
Amesema kuwa mahitaji ya maji ni ya kila siku na kuna watu wanafanya kazi ya kuangalia katika vyazo vyake na kisha watu kuyatumia kutokana na kusimamiwa na hayo mabonde.
Nae Mwakilishi wa Wamiliki wa Wenye Viwanda nchini (CTI) Hussein Sufiani amesema kama wenye viwanda wamekubali kulipa tozo na ada.
Katibu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufanya mazungumzo na wamiliki wa Wenye Viwanda (CTI) kuhusiana na ulipaji wa tozo za maji katika mabonde katika mkutano ulifanyika katika ofisi za Bonde la Wami/Ruvu jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wamiliki wa Wenye Viwanda (CTI) Hussein Sufiani akizungumza kuhusiana na majadiliano kwa wenye viwanda katika ulipaji wa tozo na ada katika mkutano ulifanyika katika ofisi za Bonde la Wami/Ruvu jijini Dar es Salaam.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2nE3Nsj
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








