Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akipeana mikono na Mwenyekiti wa Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat Sheikh Abdalla Hadhar Abdalla ikiwa ni ishara ya kupokea kwa Msaada wa Vifaa Tiba vilivyotolewa na Jumuia hio wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Mnazi mmoja Zanzibar.
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akimpandisha Mtoto Sulhia Idi Nassor ambae ni Mlemavu katika kigari katika hafla ya makabidhiano ya Vifaa Tiba vilivyotolewa na Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Mnazi mmoja Zanzibar.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat Sheikh Abdalla Hadhar Abdalla akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Msaada wa Vifaa Tiba uliotolewa na Jumuiya wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.
Naibu Katibu wa Jumuiya ya Wazee(JUWAZA)Kombo Mohamed Khamis akielezea kuhusiana na kupatiwa misaada mbalimbali kwa Wazee na Walemavu katika hafla ya makabidhiano ya Msaada wa Vifaa Tiba kutoka Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akitoa hotuba katika hafla ya makabidhiano ya Msaada wa Vifaa Tiba kutoka Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Mnazi mmoja Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/335csV4
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







