Katika mazungumzo hayo, pamoja na mambo mengine, taasisi hiyo inayojumuisha wazee 29, 945 kutoka kila kata, wameipongeza CCM kwa kuanzisha utaratibu wa Mabaraza ya Wazee katika kila ngazi na wao wameahidi kuwa mstari wa mbele kuhamasisha wazee wote wajiunge kwenye Mabaraza hayo ili changamoto zao zipate urahisi wa kusikilizwa na kutatuliwa kwa pamoja.
Mazungumzo hayo yamefanyika Leo tarehe 01 Januari, 2020 nyumbani kwa Katibu Mkuu Kemondo, Bukoba vijijini.Akizungumza, Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Bibi. Lydia Lugazia kwa niaba ya wazee wa taasisi hiyo amesema,
“Sisi wazee tuliposikia CCM imeanzisha utaratibu huu wa Mabaraza ya Wazee kwenye kila ngazi, tulifarijika sana kwa kuwa sasa tutapata mahala sahihi zaidi pa kupeleka changamoto zetu kwa pamoja, na kwa kuwa sisi wa Muleba tulisha anza kukaa pamoja chini ya taaisis ya KWA WAZEE, tunaahidi kutoa ushirikiano na kuhamasisha wazee wote tuwe kwenye Mabaraza haya, Ili changamoto zetu zitatuliwe kwa pamoja.”
Katika mazungumzo hayo, Dkt. Bashiru amewahakikishia nia ya dhati ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. John Pombe Magufuli kuunda mabaraza hayo ni kuwa karibu zaidi na wazee na siku zote amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha changomoto zenu mbalimbali zikiwemo za Afya zinatatuliwa.
Katibu Mkuu Mkuu yupo Nyumbani kwake Bukoba kwa mapumziko, ambapo anatarajiwa kumaliza mapumziko hayo mapema mwezi Januari, 2020.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/39u9zjz
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









