Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza wa Benki ya NBC, Dorothea Mabonye (kushoto), pamoja na Meneja Masoko wa benki hiyo, Alina Maria Kimaryo (wa pili kushoto), wakiagana na mmoja wa washindi wa kampeni ya Ibuka Kidedea na NBC Malengo, Ramdhani Saidi (kulia) muda mfupi kabla ya kuondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo akielekea Seychelles pamoja na mwenza wake. Kupitia kampeni hiyo inayoendelea, washindi wanajishindia safari za kitalii kwenda Seychelles, mbuga za wanyama za Serengeti, bodaboda na pikipiki ya miguu mitatu (Toyo).
Meneja Masoko wa benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo (kulia), akikabidhi tiketi ya ndege ya kwa moja wa washindi wa kampeni ya Ibuka Kidedea na NBC Malengo, Esther Ndunguru muda mfupi kabla ya kuondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo akielekea Arusha kufanya utalii katika Mbuga za Wanyama za Serengeti akiwa na mwenza wake. Kupitia kampeni hiyo inayoendelea, washindi wanajishindia safari za kitalii kwenda Seychelles, mbuga za wanyama za Serengeti, bodaboda na pikipiki ya miguu mitatu (Toyo).
Mshindi wa safari ya kwenda Mbuga za Wanyama za Serengeti wa Ibuka kidedea na NBC Malengo, Esther Ndunguru (kushoto) akikaguliwa tiketi yake kabla ya kupanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo. Safari hiyo paamoja na mwenza wake inalipiwa na NBC. Washindi wanne wameibuka kidedea na kushinda safari ya kwenda Serengeti pamoja nma wenza wao huku gharama zote zikilipiwa na NBC.
Washindi wa kampeni ya Ibuka Kidedea na NBC Malengo wakifungua shampeni muda mfupi kabla ya kuondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo wakielekea Seychelles. Kupitia kampeni hiyo inayoendelea, kila mwezi washindi wanajishindia safari za kitalii kwenda Seychelles, mbuga za wanyama za Serengeti, bodaboda na pikipiki za miguu mitatu (Toyo).
Washindi wa Ibuka Kidedea na NBC Malengo wakitakiwa heri ya safari yao na wawakilishi wa NBC waliowasindikiza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo kabla hawajaondoka.
Washindi wa Ibuka Kidedea na NBC Malengo wakipozi kwa picha pamoja na wawakilishi wa NBC waliowasindikiza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo kabla hawajaondoka huku wakiwa wameshika glasi zenye shampeni ikiwa ni ishara ya kuwatakia safari njema.
Washindi wa Ibuka Kidedea na NBC Malengo wakiwa katika hatua ya mwisho ya kuondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2SFk3a6
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33













