WAKIWA na jumla ya miaka 211 John (106) na Charlotte Henderson (105)Desemba 15 wataadhimisha miaka 80 ya ndoa yao huku wakieleza siri ya mafanikio yao ni kutengeneza kesho bora zaidi kuliko leo.
Kwa mujibu wa mtandao wa Guinness World Record imeelezwa kuwa wanandoa hao waishio Texas nchini Marekani walikutana mwaka 1934 katika Chuo cha Texas ambapo Charlotte alikiwa akisomea masuala ya elimu na John alikuwa mcheza mpira maarufu chuoni hapo.
Licha ya kutobahatika kupata mtoto wawili hao wameeleza kuwa siku zote wamekuwa wakishirikiana katika masuala mbalimbali Kama vile kucheza pamoja na kufanya mazoezi.
Charlotte amemwelezea mumewe John kuwa ni mwelewa sana na mwenye moyo wa kusamehe;
“Hatukumbushiani mambo yaliyopita baada ya kusamehe, tunaishi kwa furaha na mapenzi ya hali ya juu” ameeleza.
Kwa upande wake John amemwelezea mkewe kuwa ni mwanamke anayejali na wamekuwa wakizidi wakifurahia kila siku.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/33EN8nY
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







