Malkia wa filamu bongo, Wema Sepetu amekanusha kuwa na mahusiano na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe ambaye miezi michache iliyopita alihusishwa kutoka naye baada ya sauti zinazodhaniwa kuwa za kwao kusambaa mitandaoni.
Wema amesema kuwa katu hajawahi kuwa na mahusiano na kiongozi huyo wa upinzani kwani ni mtu ambaye anamuheshimu sana na kuongeza kwamba sauti hizo zenye mazungumzo ya faragha zilitengenezwa na watu asiowafahamu wenye nia ya kumchafua.
Akifanya mahojiano na Mtangazaji wa Nirvana, Deogratius Kithama, Wema Sepetu amesema anashindwa kuelewa sauti hizo zilipotokea kwani anamuheshimu sana Mh. Mbowe na heshima yake hiyo wakati mwingine inampa hali ya kumuogopa hivyo anaamini kitendo hicho kilitengenezwa na watu wenye nia ya kuwachafua kisiasa.
“I was shocked, sijui chochote kuhusu hicho kitu. Mimi mwenyewe sijui kilipoanzia na kwanza ninavyomuheshimu yule baba mpaka namuogopa sasa hili lilipotokea i was like hizi ni figisu. Ingawa sijakutana na Mbowe toka jambo hili kutokea kwa sababu yupo busy lakini viongozi wengine wa CHADEMA walinielewesha ni kwa nini watu wanafanya hivyo. Wema Sepetu
Wema ameongeza ” Unajua hizi ni siasa. Huku ni upinzani na wengine ndiyo wapo madarakani so mambo kama haya ya kisiasa yanatokea ingawa huyo aliyetengeneza sauti kufanana na ya kwaangu yupo vizuri sana.
Sauti ya Wema pamoja na Mbowe ilivujishwa miezi michache baada ya muigizaji huyo pamoja na mama yake kuhamia upinzani wakitokea CCM kwa madai ya kutaka kutumikia chama chenye demokrasia ya kweli
Mtazame hapa chini Wema akifunguka
CREDIT:Udaku Specially
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







