UTAFITI: WANAUME HUVUTIWA ZAIDI NA SURA WANAPOTAFUTA MKE LAKINI HUVUTIWA NA UMBO WANAPOTAFUTA MWANAMKE WA “KUCHEZEA”..SOMO LIKO HAPA

10 years ago127 Views



*.Mabinti: Siri imeshafichuka na inavyoonekana wanasayansi tayari
wameshafumbua lile fumbo tata la nani mwoaji na nani mbabaishaji tu
mtaka uroda.*.Siku nyingine mpenziyo mpya akikuambia kwamba sababu yake
kuu ya kukupenda nimiguu yako, macho, kiuno, matiti, umbo namba nane au
sababu zingine za kiumbo, kuna uwezekano mkubwa kwamba huyo njemba si
mwoaji bali ni mtafuta uroda tu.*.Utafiti mpyauliofanywa katika Chuo
Kikuu cha Texas, Austin unaonyesha kwamba wanaume hutumia vigezo tofauti
wanapotafuta mwenzi.*.Kama lengo ni kutafuta mwenzi wa kudumu (mf. mke)
basi wanaume wengi hupendelea wanawake wenye sura nzuri lakini kama
lengo ni uhusiano wa muda mfupi tu (mf. kutimiza tamaa za ngono za muda
mfupi) basi wanaume wengi hutafuta wanawake wenye maumbo mazuri
wayatamaniyo.*.Watafiti hawa wamegundua kwamba, japo umbo ni muhimu
kidogo katika mahusiano ya muda mrefu, uso ni muhimu zaidi kwa sababu
ndicho kiashiria kizuri cha umri na “rutuba” ya mwanamke.*.Swali:Kuna
ukweli wo wote katika utafiti huu?Kinachonishangaza mimi ni kwamba suala
la tabiaya mwanamke – na hataNoeclexis-halitajwikabisa katika utafiti
huu, jambo ambalo nafikiri lilikuwa (na pengine bado) ni la muhimu
katika jamii nyingi za Kiafrika.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.