Ushauri wa Bure Kwa Baba Diamond Platnumz

7 years ago113 Views

Tafuta watu wakuandikie wimbo ingia studio Fanya track ..Utatoka tu..Utatembelea nyota ya mwanao na pesa utapiga tena nyingi tu kuliko unavyo lia lia hivyo kutaka kusaidiwa fedha na mwanao.

Kwanza lazima ujue kuwa wewe ni mwanaume halafu sio mzee wa kihivyo.

Kuhusu kuimba au kurap hakunaga MTU asie na uwezo wa kuimba duniani. Hayupo. Hata wewe ukiamua unaweza sana. Kama unadhani huwezi kuimba lazimisha Matokeo.

Matter fact mziki wa kibongo bongo unaenda kwa kiki. Kiki tayari unayo.Wewe kuwa baba wa star kama Diamond ni kiki tosha.

Badili changamoto zako kuwa fursa

Watu wa karibu na baba Diamond.mfikishieni ushauri huu.Naamini utakuwa na impact kubwa sana katika maisha yake

from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2GweS6W
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.