UNGEJUA MUMEO/MKEO/MPENZI WAKO ATAKUWA NA TABIA ALIZONAZO JE UNGEMKUBALI ?..ZISOME

9 years ago128 Views

post-feature-image1. Kama ungejua mumeo au mkeo atakuwa na tabia aliyonayo sasa ugekubali kuoana naye?

2. Je umeoa/kuolewa na mtu uliyemtaka; ni chaguo lako halisi?

3. Sababu gani zinakufanya uendelee kuishi na mkeo/mumeo hadi sasa Je (watoto, sababu ndoa ya kikristo haina talaka/wazazi watakulaani ukitengana nae/navumilia/bado nampenda/ tunaishi kwa mazoea?)

4. Sababu gani iliyokufanya uwe na uhusiano wa kingono nje ya ndoa?(kuchuja kwa mwenzako, tamaa ya mwili, marafiki wabaya, kasoro ya kimaumbile ya mwenzangu, tamaa ya mali/ kukosekana kwa maelewano ndani ya nyumba).

Majibu bila shaka unayo lakini tunaweza kukusaidia zaidi….

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.