Umesikia Alichokisema Diamond Kuhusiana na Ishu ya Kutoka na Tunda “Eti! Diamond Madale Kang’ang’aniwa”

8 years ago127 Views

Alichokisema Diamond Kuhusiana na Ishu ya Kutoka na Tunda "Eti! Diamond Madale Kang'ang'aniwa"Diamond Platnumz azidi kuchukua headlines katika mitandao ya kijamii baada ya maneno yanayoendelea katika mitandao ya kijamii ya kudaiwa kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Tunda.

Maneno hayo yameonekana kumfikia Diamond Platnumz na kuamua kuandika maneno haya kwenye ukrasa wake wa kijamiii wa instagram “Eti! Diamond Madale Kang’ang’aniwa….. Mxiiiiew!”

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.