Na.Khadija seif, Michuzi TV
TAMTHIlIA pendwa ya wildflower msimu wa pili inarudi tena kwa kishindo kuanzia Octoba 14 mwaka huu.
Tamthilia hiyo itarushwa moja kwa moja kupitia King’amuzi cha startimes chaneli ya ST swahili saa 4 usiku kila siku ya jumatatu hadi ijumaa.
Maudhui ya tamthilia hiyo inamzungumzia mwanadada lily cruz ambae anarejea poblacion ardiente ili kulipiza kisasi cha wazazi wake ambao ni Dante na calmia ambao waliuawa na familia ya Julia Ardiente.
“Baada ya kunusurika kifo lily akutana na mwanamke tajiri prianka baada ya kufanikiwa na kuachiwa na wauaji, prianka akamchukua lily na kumbadilisha kila kitu kuhusu yeye na kuwa na utambulisho mpya wa ivy Kama vile mtoto wake.
Baada ya miaka kumi na tatu ivy anagundua kuwa mama yake hakuuwawa,baada ya msako mkali ivy alifanikiwa kumuona mama yake, lakini mama yake anagundua kuwa ana matatizo ya kupoteza kumbukumbu ambapo ivy alifanikiwa kumchukua na kumsaidia kurudisha kumbukumbu zake.
Huku ivy alikua kijana machachari na kufanikiwa kumteka kimapenzi kijana arnado,arnado alichanganyikiwa na penzi la ivy lakini lengo la ivy lilikua ni kuanika maovu ya arnado na asiweze kuolewa nae.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2INvlTP
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







