Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari amewaamuru polisi na wanajeshi nchini humo wasionyeshe huruma mbele ya wezi wa kura kipindi hiki wakati maandalizi yakiendelea kwa ajili ya uchaguzi huo ulioahirishwa. uchaguzi