Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari amewaamuru polisi na wanajeshi nchini humo wasionyeshe huruma mbele ya wezi wa kura kipindi hiki wakati maandalizi yakiendelea kwa ajili ya uchaguzi huo ulioahirishwa.
uchaguzi Mkuu nchini Nigeria unatarajiwa utafanyika Jumapili ijayo February 23, 2019, mara baada ya Tume huru ya uchaguzi nchini humo (INEC) kuhahirisha hapo February 16 mwaka huu.
INEC walitangaza kuhairishwa kwa uchaguzi huo saa tano tu kabla ya wapiga kura kuelekea katika vituo vya upigaji kura.
Hata hivyo vyombo vya habari vya ndani nchini Nigeria viliripoti kuwa vifaa vya kupigia kura vilikuwa bado havijawasili katika maeneo yote nchini humo.
from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2SJJfgW
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







