Idadi ya watu waliofariki katika shambulio la wanamgambo wa Somalia, walipoivamia hoteli moja mjini Nairobi imeongezeka hadi 21 kwa mujibu wa serikali. Mamia ya watu walilazimika kutoroka umwagikaji damu ulioshuhudiwa