7 years agoSnura afunguka kuhusu ‘bifu’ lake na ShiloleMsanii wa muziki wa Bongo fleva, Snura Mushi ‘Snura’ amefunguka kuwa uhusiano wake na msanii mwenzake Shilole haujawahi kubadilika tangu mwanzo na hawakuwahi kuwa na tofauti kama wengi wanavyodai. SnuraRead More