Mchekeshaji maarufu nchini, Idris Sultan amefunguka kuhusiana na tuhuma zinazoendelea mtandaoni ambazo zimehusisha uhusiano wake na mwanamitindo, Hamisa Mobetto. Idris amesema kuwa sio kila mwanamke anayekuwa karibu naye ni mpenzi