Mchekeshaji maarufu nchini, Idris Sultan amefunguka kuhusiana na tuhuma zinazoendelea mtandaoni ambazo zimehusisha uhusiano wake na mwanamitindo, Hamisa Mobetto.
Idris amesema kuwa sio kila mwanamke anayekuwa karibu naye ni mpenzi wake, kwani ana marafiki wengi wa kike na hajawahi kuwa na uhusiano.
“Mimi kuongozana na Hamisa sio kitu cha ajabu maana ni washikaji kitambo”, amesema Idris.
“Halafu mmesahau kwamba mimi na Hamisa ni washkaji kitambo tu?. Sasa kwa nini leo muanze kusema natoka naye?, sio kila mwanamke ninayekuwa naye karibu basi natoka naye, wengine ni washkaji kama hivi”, ameongeza.
Hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii zilisambaa taarifa zilizodai kuwa wawili hao wana uhusiano wa siri na wamekuwa wakiongozana kila mahali, hivyo kupelekea wengi kuhisi moja kwa moja kuwa wawili hao kuwa watakuwa kwenye uhusiano kwakuwa hakuna ambaye ameweka wazi uhusiano wake mpaka sasa.
from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2AOw96U
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







