7 years agoFei Toto Apiga Hesabu za Ubingwa Yanga SCKiungo wa Yanga SC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amesema hawajakatishwa tamaa na matokeo waliyoyapata ya kufungwa na Simba sc na badala yake wataendelea kupambana kuhakikisha wanafanya vizuri katika michezo inayofuataRead More