TARURA Mikoa ya RUVUMA na GEITA watia saini mikataba ya mabilioni, RC Ahmed na RC Shigela washuhudia
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed A. Ahmed leo tarehe 6 Agosti,2024 ameshuhudia utiaji saini wa mikataba 50 yenye thamani ya shilingi bilioni 14 baina ya TARURA na Wakandarasi






















