Spika wa Bunge na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipokelewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja, Ndg. Ramadham Abdala Ali wakati alipowasili katika Ofisi za Mkoa huo leo Mjini Zanzibar.
Spika wa Bunge na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Job Ndugai akizungumza na viongozi wa kamati ya siasa ya Mkoa wa kusini Unguja wakati alipowatembelea kwa ajili ya kuwasalimia viongozi hao katika Ofisi za Mkoa huo leo Mjini Zanzibar.
Spika wa Bunge na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Job Ndugai akizungumza na viongozi wa kamati ya siasa ya Mkoa wa kusini Unguja wakati alipowatembelea kwa ajili ya kuwasalimia viongozi hao katika Ofisi za Mkoa huo leo Mjini Zanzibar.
Spika wa Bunge na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Job Ndugai (wa tatu kulia waliokaa) katika picha ya pamoja na viongozi wa kamati ya siasa ya Mkoa wa kusini Unguja walioongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja, Ndg. Ramadham Abdala Ali (wa tatu kushoto waliokaa ) baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo katika Ofisi za Mkoa huo Mjini Zanzibar.
Spika wa Bunge na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiagana na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja, Ndg. Ramadhan Abdala Ali baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo katika Ofisi za Mkoa huo Mjini Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Ndg. Hassan Khatibu Hassani
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizunguma na Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohamed walipokutana leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Mjini Zanzibar.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Naibu Waziri wa Elimu na Amali, Mhe. Simai Mohamed Said walipokutana leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Mjini Zanzibar. Katikati ni Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohamed
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiagana na Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohamed walipokutana leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani, Unguja. PICHA NA OFISI ZA BUNGE
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2ZQTi6g
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33














