
HISTORIA ITAANDIKWA SONGWE.
Nimewasili Mkoani Songwe Mji Wa Tunduma, Kesho Tarehe 03.090.2025 Kampeni zitafanyika Mji Wa Tunduma Asubuhi saa tatu na Mchana Saa 6 Kampeni zitafanyika Vwawa, Mgombea Wa Urais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Dkt @samia_suluhu_hassan atazumgumza na Wananchi wa Songwe.🙏🏿🇹🇿
KIRAKA KAZINI






