MSANII wa fil amu ambaye pia alikuwa muuza sura kwenye video za Kibongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amejisifu kukulia uswahilini na kusema kuwa wasichana wengi ambao maisha yao wamekulia huko ndiyo wanaofanikiwa kimaisha.
Diamond Afunguka Mazito asema Mzee Abdul “Alikua Hanipendi Nikiwa Mdogo”
Kidoa alisema kuwa, mtu aliyekuwa akimuona akiwa katika maisha ya uswahilini hawezi kumtarajia leo anaweza akasimama sehemu yoyote na mtu akamsikiliza na hiyo yote ni kuona kuwa anapoendelea kukua hataki kurudi maisha aliyopitia hivyo kila kukicha ni kutafakari kitu cha kufanya.
“Unajua ukiwaona wasichana wengi wamefanikiwa ambao ni warembo huwezi kuamini kama wametoka uswahilini, tena kwenye maisha ya taabu sana, lakini mwisho wa siku wanakuwa kioo cha jamii, kama leo hii mtu hawezi kujua kama nilitokea uswahilini kwenye kila kituko, lakini angalau naweza kusimama popote na nikasikilizwa ninachokiwakilisha kwa wakati huo,” alisema Kidoa.
Kwa sasa, staa huyo amekuwa akifurahia maisha, akijichanganya kwenye sehemu mbalimbali za burudani ndani na nje ya nchi, akionekana zaidi kwenye matukio makubwa ya kijamii na burudani.
STORI: Imelda Mtema, DAR
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






