Shirikisho la soka barani Afrika wamemtaja mwanasoka bora wa mwaka kuwa ni Sadio Mane ambaye anachezea timu ya Liverpool.
Walioshiriki kinyang’anyiro cha tuzo hizo ni mshambuliaji wa Senegal na klabu ya Liverpool -na wenzie walioshiriki kinyang’anyiro hicho ni mchezaji wa Misri Mohamed Salah na mchezaji wa Manchester City pamoja na winga wa Algerian Riyad Mahrez.
Mane ambaye ana umbaye ana umri wa miaka 27, aliweza kuisaidia Reds katika ligi ya mwaka 2018-2019 na kufunga magoli 30 katika msimu uliopita.
Aliweza kufunga magoli 15 mpaka sasa kwa mwaka 2019 mpaka 2020, na kuisaidia Liverpool kuwa kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama 13.
“Nina furaha sana na ninajivunia kuwa mshindi. Kandanda ni ajira yangu ambayo ninaipenda,” alisema Mane.”Ninapenda kuwashukuru familia yangu, taifa langu , timu yangu ya taifa , wachezaji wenzangu, shirikisho na klabu ya Liverpool.Hii ni siku kubwa kwangu.”
Mane alichukua tuzo yake katika sherehe zilizofanyika huko Hurghada, Misri.Lakini si Salah, ambaye alishinda tuzo hiyo mara mbili katika miaka miwili iliyopita wala Mahrez wali.
Mane alimaliza katika nafasi tatu za juu katika tuzo hizo katika miaka mitatu iliyopita.Na ilikuwa ni ndoto yake kushinda tuzo hiyo ili kufikia mafanikio ya shujaa wake El Hadji Diouf, ambaye alishinda mwaka 2002.
kusoma zaidi bofya HAPA.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/37HE0kP
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







