Na.Khadija seif,Globu ya jamii.
MSANII wa tasnia ya filamu nchini Rose Ndauka amefungua biashara ya saloon jijini Dar es salaam.
Ndauka amesema ukimya wake katika filamu kwa muda mrefu umetokana na majukumu ya kifamilia pamoja na biashara ambayo ameianzisha hivi karibuni ya saloon ya kike na kiume.
“Rose ni yule yule na kadri navozidi kukua majukumu ndio yanazidi ila bado niko vizuri na ninapenda kazi yangu ya sanaa kwani ndio ilionitambulisha kwenye ramani ya Tanzania na watu wanaifahamu kupitia sanaa”, alisema ndauka.
Hata hivyo ameeleza ukimya huo pia umemuwezesha kujinoa upya na kurudi kwenye tasnia akiwa mpya kwani ameweza kuyafanyia kazi malalamiko ambayo mashabiki kila kukicha hutoa na kusema kwa sasa filamu nyingi hazina ubora na zinapelekwa sokoni pasi na ubunifu na utofauti kwenye kazi hizo.
Pia amewapa ushauri wasanii na watengenezaji wa filamu kuboresha kazi zao ili ziweze kupewa thamani katika jamii na kupata wanunuzi wengi kwani soko bado lipo na wasanii wazuri bado wapo .
Aidha ndauka amewapa rai mashabiki wake kuwa waendelee kununua kazi zake na kumshauri pale anapokosea kwani bila wao hata Leo hii asingeweza kufungua biashara zingine kutokana na kuwa wadau wakubwa wa kazi za filamu na kununua pia .
from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2J5m5fC
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







