Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), inatoa huduma mbalimbali ikiwamo vyeti vya kuzaliwa katika Maonyesho 43 ya biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko na Mawasiliano wa RITA, Josephat Kimaro amesema mbali na kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa pia wakala utatoa ushauri wa kisheria bure kuhusu masuala ya kuandika wosia na mirathi.
“Pia tutapokea maoni, maswali, ushauri na mapendekezo kuhusu huduma za Wakala,” amesema.Kimaro amesema RITA imekuwa ikishiriki maonesho hayo kila mwaka ambapo amewaomba wananchi wakifika sabasaba watahudumiwa kwa bora kwa wakati.

Baadhi ya wananchi wakipata huduma ya vyeti vya kuzaliwa katika banda la Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) leo katika maonesho ya 43 ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko na Mawasiliano wa RITA, Josephat Kimaro (kushoto) akizungumza kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na taasisi hiyo ikiwamo vyeti vya kuzaliwa katika maonesho ya 43 ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), wakiwaelekeza wananchi namna ya kujaza fom za cheti cha kuzaliwa leo katika maonesho ya 43 ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), wakiwaelekeza wananchi namna ya kujaza fom za cheti cha kuzaliwa leo katika maonesho ya 43 ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam.from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2XzJ3hT
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







