Share Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Ndugu zangu Watanzania Karibuni hifadhi ya kisiwa cha saa nane Mwanza kuona simba, Tausi nk Timuunge Mkono Mhe.Rais Samia katika kutangaza utalii ndani na nje ya nchi yetu.