Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu amewataka wageni wote wanaowasili mkoani humo kwa ajili ya Sikukuu za Christmas na Mwaka mpya kuhakikisha wanailinda amani ambayo wameikuta.
Babu ametoa kauli hiyo jana 10/12/2025 ofsini kwake mjini Moshi alipozungumza na Waandishi wa habari ambapo amesema kama ilivyo desturi ya mwisho wa Mwaka tayari sasa wameanza kupokea Wananchi wengi wenyeji wa Kilimanjaro wanaofanya shughuli zao nje ya mkoa huo na nchi mbalimbali ambapo kwa sasa kama ilivyozoeleka wanarejea kwa Wazazi wao na wengine kwenye makazi yao ya asili kwa ajili ya sikukuu za Mwisho wa Mwaka..
“Wengine wamerejea nyumbani kwa ajili ya kufanya mila za kufagia Makaburi huku wengine wamekuja kusalimia ndugu jamaa na marafiki” Alisema Babu.
Alitumia nafasi hiyo kuwakaribisha wageni wote anaoamini walitoka Kilimanjaro kwenda mikoa mingine kutafuta kwa njia za kujiajiri na wengine kufanya majukumu mbalimbali ya utumishi wa serikali ambapo pia ujio wao utachangia kuongeza mapato ndani ya Mkoa.
RC Rosemary Senyamue: Matokeo ya ziara ya Kidiplomasia ndani ya Jiji la Dodoma yameanza kuonekana
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






