RC Katavi , Mhe. Homera ameipongeza Halmashauri ya Mpimbwe kwa mwenenendo mzuri wa Ujenzi wa Hospitali ya wilaya kwa kufikia 87%.
Aidha, RC Homera amewapongeza kutokana na kasi kubwa ya ujenzi wakiongozwa na mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo ndugu Erasto Siwale ,aidha RC Homera amempongeza DED Erasto kwa kuwa msimamizi mahiri wa miradi na kuwaunganisha watumishi kuwa kitu kimoja katika halmashauri hiyo.
Hospitali hii inajengwa kwa Tsh Bilion 1.5. Mhe. Homera amewapongeza pia wafanyakazi na mafundi wanaoijenga hospitali hiyo na kuwataka waendelee kuwa wazalendo na kutotumia saruji na vifaa vingine kinyume na matakwa ya serikali.
Hata hivyo, RC Homera aliwaeleza wananchi waliokuwa hospitalini hapo kuwa ujenzi wa Hospitali hizo za mkoa mzima wa Katavi ni Jitihada za serikali ya CCM ya awamu ya Tano katika kutekeleza ilani yake ya mwaka 2015-2020 ibara ya 49,50 inayoongozwa na Dkt. John Pombe Magufuli ikisimamiwa vyema na waziri wa Nchi Ofisi Ya Rais Tamisemi Mhe Suleiman Jafo.
RC Homera amewataka wananchi na mafundi kuhakikisha Hospitali inakamilika kwa wakati ili waendelelee kufurahia matunda yanayotokana na serikali ya awamu ya tano.
Lakini pia RC Homera amewahakikishia wananchi wa Halmashauri ya Mpimbwe wilayani Mlele mkoani Katavi ujenzi wa barabara kiwango cha lami KM 1.7-Mpaka 2 kwa Bajeti ya mwaka 2019/2020 Katika Mji wa Uservya chini ya wakala wa Barabara Tanzania ,Tanroad.
pia hayo yatafanyika sambamba na uanzishwaji wa Benki mojawapo katika mji huo ambao una uzalishaji mkubwa wa mazao ya biashara na chakula pamoja na Kata ya majimoto mkoani Katavi.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2lumE8f
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









