RC Dodoma akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Singapore Nchini,Jionee hapa

Admin Updates1 year ago6 Views

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, leo tarehe 21 Novemba 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Singapore aliyefika Ofisini kwake kwenye Jengo la Mkapa Jijini Dodoma lengo la ujio huo likiwa ni kukuza ushirikiano kati ya Singapore na Tanzania hususani katika Mkoa wa Dodoma. 

Ujumbe huo unadhamira ya kuwekeza katika Sekta mbalimbali zikiwemo ikiwemo miundombinu, fursa za masomo na Ushirikiano wa kujengeana uwezo katika kukuza Jiji la Dodoma 

Aidha, ujumbe huo umeongozwa na Bw.Douglas Foo, Balozi wa Tanzania nchini Singapore na Bi. LEE Zhu’ai Sian, Mkurugenzi Msaidizi, Wizara ya Mambo ya Nje Singapore.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...