
Rapper wa Marekani, ‘Snoop Dogg’ amefanikiwa kuungana na mastaa wengine duniani waliowahi kupatiwa heshima ya nyota ya Hollywood Walk of Fame siku ya Jumatutu Nov 19.
Kupata heshima ya nyota hiyo ni ndoto ya kila staa duniani kwa kuwa si kila mtu anaweza kupata nafasi hiyo
Sherehe hiyo ilihudhuriwa na mastaa kama Dr. Dre, Quincy Jones, Pharrell Williams, Ty Dolla $ign, Warren G, na Jimmy Kimmel ambaye ni mtangazaji maarufu wa televisheni.
Baada ya kupewa heshima hiyo Snoop alitoa shukrani zake akisema: “Najishukuru sana mimi, kwa kuwa mimi wakati wote. Snoop Dogg we ni mbaya sana.”
Dr Dre alifunguka kwa kumpongeza Snoop kwa kusema, “Almasi ya kweli inang’aa juu. Snoop ana kipaji cha kweli, Hakuna mtu anayesikika kama Snoop, Staili yake na haiba zilinifanya niamini kwamba ana bahati ya kuja kuwa Superstar
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






