Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa na Makamu wa Rais wa Jamhuri Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mapinduzi kuashiria uzinduzi wa Hotel Verde β Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa mara baada ya kuzindua Hotel Verde ya Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na Makamu wa Rais wa Jamhuri Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mapinduzi kuashiria uzinduzi wa Hotel Verde β Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mapinduzi wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Vyakula wa Bakhresa Salim Aziz Salim huku wakitazama maeneo mbalimbali ya Hotel Verde β Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar wakati wa sherehe za uzinduzi wa hoteli hiyo Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijaribu vifaa vya mazoezi alipoambatana na Viongozi wengine wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mapinduzi kutazama maeneo mbalimbali ya Hotel Verde β Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar wakati wa sherehe za uzinduzi wa hoteli hiyo Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Vyakula wa Bakhresa Salim Aziz Salim huku alipokuwa akigagua moja ya chumba cha Hotel Verde β Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar wakati wa sherehe za uzinduzi wa hoteli hiyo Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Vyakula wa Bakhresa Salim Aziz Salim akikagua moja maeneo mbalimbali ya Hotel Verde β Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar wakati wa sherehe za uzinduzi wa hoteli hiyo Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza ngoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hotel Verde β Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hotel Verde β Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa alipowasili kabla ya kuzindua Hotel Verde β Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.
PICHA NA IKULU
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2sZjQUP
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







