Mabalozi walioapishwa ni Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini, Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Namibia, Profesa Emmanuel David Mwaluko Mbennah kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe, na Dkt. Benson Alfred Bana kuwa Balozi Tanzania Nchini Nigeria.
“Na nchi tulizowapeleka wote nyinyi wanne ni nchi ambazo (very potential) katika kujenga uchumi wa Taifa letu, nendeni mkiamini mnawakilisha taifa na taifa lenye mwelekeo mpya katika maendeleo ya watu wake”,alisema Rais
Hata hivyo Rais Magufuli amewakumbusha Mabalozi hao majukumu ya Taifa letu katika nchi za SADC ikiwa nchi walizochaguliwa kuwakilisha ni wanachama wa SADC katika kujenga maendeleo na uchumi wa kisasa.
“Kasimamieni uchumi, kasimamieni taifa, kahakikisheni mnatengeneza ajira’employment’ kwa watanzania katika nchi mnazowakilisha, najua mkienda kusimama vizuri mtafanya vizuri”. Amesema Rais Dkt. Magufuli.
Hata hivyo amewaasa wakamtangulize Mungu katika kazi zao kwani Mungu ndiye kila kitu, na matumaini yake kuwa watafanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi.
Rais Magufuli amewaonya tabia ya kwenda kuaga kwa viongozi mbalimbali wa serikali kwa nia ya kupoteza siku kadhaa ikiwa yupo hapa nchini badala ya kwenda kule walikopangiwa kuwakilisha Taifa.
“Tunataka unapoteuliwa na kuchapa kazi na hii ndio maana ya hapa kazi tuu, na mimi ninauhakika mtaweza tuu mtaweza tuu sana “. Amesema Rais, Dkt. Magufuli.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2tWJ3z9
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







