Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wanne kutoka kulia walioshika utepe, Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa, Waakilishi wa Umoj wa Ulaya nchini (EU) Waakilishi wa Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW) akifungua mradi wa uboreshaji wa huduma ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Sumbawanga mkoani Rukwa.

Sehemu ya Miundombinu ya uboreshaji wa huduma ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Sumbawanga mkoani Rukwa ambayo imezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo mjini Sumbawanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha ya kuchorwa yenye taaswira yake wakati akiondoka katika uwanja
wa Nelson Mandela mara baada ya kuwahutubia wananchi.
PICHA NA IKULU
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2IyvudP
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







