Msanii wa muziki wa Bongo fleva Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind ametangaza rasmi kuachana na Bongo fleva na kugeukia Muziki wa Gospel/ nyimbo za dini.
Pretty Kind amefunguka na kuweka wazi kuwa amefikia uamuzi huo Baada ya kuamua kuachana na mambo ya kidunia na kumrudia Mungu Wake kumaanisha kwamba ameokoka.
Kwenye mahojiano aliyofanya na Global Publishers, Pretty Kind alisema baada ya kumrudia Mungu, ameamua kuachana na muziki wa kidunia na sasa anaandaa nyimbo za Injili ambazo ataziachia hivi karibuni.
Tangu nimeokoka maisha yangu yamekuwa ya furaha mno na nina amani moyoni tofauti na nilivyokuwa naendekeza maisha ya kidunia hivyo ili kudhihirisha furaha aliyonipa Mungu, sasa ninaanza kuimba nyimbo za Injili ili ziwe ushuhuda wa kuwabadili na wengine“.
on our website.
from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2Eajb4d
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







