PICHA ZA JOKATE ZA KIMAPENZI NA CALISAH ZAVUJA..HEBU ZIONE HAPA UTOE MAONI YAKO

Admin Updates10 years ago94 Views


Huyu
Calisah ni Model maarufu wa kiume…ambaye siku za hivi kariburi
alikuwa ana mahusiano yakimapezi na Jackline Wolper….kama tulivyo
ripoti siku za nyuma kidogo..


Wiki
kadhaa zilizopita inasemekana penzi lao LUKU ILI KATA…..Hadi sasa
Calisah amefuta picha  zote za Wolper  kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM
ambapo zilikua zaidi 30..hahahaha


Leo
kutoka huko INSTAGRAM wadaku wamezidaka picha hizi za JOKATE akiwa na
CALISAH katika mapozi ambayo watu wanashindwa kuyaelewa!!! Kama
unavyoziona….Jiongeze kiutuuzima!!!


0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...