Meneja wa Masoko ya Fedha kutoka Benki Kuu (BoT), Bw. Lameck Kakulu (wa kwanza kulia) akielezea kuhusu soko la hisa Tanzania kwa wawekezaji mbalimbali wakati wa kongamano lililoratibiwa na Benki ya NMB jijini Dar es Salaam. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa utafiti, Sera na Mipango wa Mamlaka ya Masoko na Mitaji (CMSA), Alfred Mkombo, Meneja Mwandamizi wa huduma za Dhamana kutoka NMB, Bw. Avith Massawe na Mkurugenzi Mtendaji wa FIMCO Bw Ivan Tarimo. 

Mweka Hazina wa Benki ya NMB, Aziz Chacha akiongea na wawekezaji wa Soko la Hisa na Dhamana za Serikali kuhusu huduma mpya ya uhifadhi wa dhamana na usimamizi wa uwekezaji katika masoko ya mitaji wakati wa kongamano lililoratibiwa na Benki ya NMB jijini Dar es Salaam.

Meneja Mwandamizi wa Huduma za Dhamana kutoka NMB, Bw. Avith Massawe akiwafunda wawekezaji wa soko la hisa na dhamana za serikali wakati wa kongamano hilo.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/35zGv7Q
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







