Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo Agosti 1/2019 amemtengua Bw. Kayombe Masoud Lyoba aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro kwa usimamizi usioridhisha wa miradi ya Maendeleo hususani ujenzi wa hospitali ya Wilaya .
Akizungumza na Waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es Salaam, Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI , Suleimani Jafo(MB) amesema Mkurugenzi huyo alifanya ununuzi wa dawa ya mchwa kwa gharama kubwa ya milioni 66 kinyume cha gharama halisi.
“kutozingatia taratibu za manunuzi na miongozo ya matumizi y fedha za ujenzi wa hospitali za halmashauri ,kufanya ununuzi wa kokoto kwa gharama ya shilingi Milioni 45 na kuzisafirisha kwa gharama ya milioni 42” Amesema Jafo
Kufuatia utenguzi huo nafasi hiyo ya ukurugenzi kwa sasa itakaimiwa na Mhandisi Godfrey George Mlowe amabye ni Meneja wa TARURA Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro hivyo namlekeza Mhandisi Godfrey Mlowe kusimamia Halmashauri hiyo pamoja na miradi yote ya maendeleo katika wilaya hiyo ikiwemo, ukamilishaji wa majengo ya Hospitali ya Wilaya, Ujenzi wa Vituo vya afya vya Mikese na Kinoko vilivyopokea fedha hivi karibuni .
Waziri jafo amesema kuwa ansisitiza ujenzi wa vituo vya afaya vijengwe kwa utaratibu wa force Account kwa usimamizi wa kamati zilizoundwa katika ujenzi wa vituo hivyo
Waziri Jafo ameiagiza TAKUKURU iendelee na uchunguzi wa kina wa michakato yote ya ujenzi wa Hospitali hiyo ya Wilya.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2GDeEJy
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







