
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo (kulia) akikagua mapipa 75 ya mafuta ya dizeli yaliyokamatwa katika bandari bubu eneo la Kawe Beach, Dar es Salaam leo katika operesheni yake ya kupambana na magendo, nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa, ufukwe kwa ufukwe, mtu na mtu ili kukomesha biashara hiyo.

Mapipa 75 ya mafuta ya dizeli yaliyokamatwa katika bandari bubu eneo la Kawe Beach, Dar es Salaam leo katika operesheni yake ya kupambana na magendo, nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa, ufukwe kwa ufukwe, mtu na mtu ili kukomesha biashara hiyo.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo (kulia) akikagua mapipa 75 ya mafuta ya dizeli yaliyokamatwa katika bandari bubu eneo la Kawe Beach, Dar es Salaam leo katika operesheni yake ya kupambana na magendo, nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa, ufukwe kwa ufukwe, mtu na mtu ili kukomesha biashara hiyo.
Serikali wilayani Kinondoni, jijini Dar es S Salaam, leo imefanikiwa kuvamia bandari bubu ikiwa imehifadhi shehena ya mapipa 75 ya mafuta ya dizeli yaliyoingizwa nchini kinyemela ili kukwepa kodi.
Mafuta hayo yamenaswa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo aliyeongozana na maofisa wa TRA, EWURA na vyombo vya usalama.
Mfuta hayo yamekutwa yamehifadhiwa katika nyumba moja iliyopo Mtaa wa Kolekole, Kawe Beach, yenye namba KAW/MZN/1542.
Chongolo alisema, mafuta hayo yamethibitika kwamba ni mafuta ya dizeli na Mamlaka ya Udhibiti wa Mafuta (EWURA) na kwamba pia wamejiridhisha ni dizeli na yameingia nchini kinyemela bila kufuata utaratibu.
Alisema mapipa yako 75 ni sawa na lita 17,000 ambapo thamani yake kwa tathimini ya wali ni zaidi y ash.milioni 20. Ofisa Mfawidhi wa Kitengo cha Kuzuia Magendo cha Mamlaka ya Mapato Tanzania b(TRA) Hafidhi Abdallah, alisema wali tarifa ya kuwepo shehena ya mafuta katika eneo hilo tangu Januari 31 mwaka huu katika nyumba hiyo.
Alisema wahusika walifanikiwa kutoroka na wanaendelea kuwasaka na kwamba mafuta hayo yatataifishwa .
from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2D99uT0
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







