Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Duniani (CWP International), Mhe. Shandana Gulzar Khan akipokelewa na Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Saidi Yakubu, baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki warsha ya Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CWP Africa Region) iliyoanza leo tarehe 26 – 29 Oktoba, 2019 Katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Duniani, Mhe. Shandana Gulzar Khan (wa pili kushoto) akiongozana na Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Saidi Yakubu (kushoto) baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki warsha ya Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika iliyoanza leo tarehe 26 – 29 Oktoba, 2019 Katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Ofisi ya Bunge, Ndg. Herman Berege
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Duniani, Mhe. Shandana Gulzar Khan (katikati) katika picha ya pamoja na Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Saidi Yakubu (wa pili kushoto) baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki warsha ya Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika iliyoanza leo tarehe 26 – 29 Oktoba, 2019 Katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Ofisi ya Bunge, Ndg. Herman Berege
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Duniani, Mhe. Shandana Gulzar Khan (kulia) akizungumza na Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Saidi Yakubu, Katika Ofisi za uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro baada ya kuwasili kwa ajili ya kushiriki warsha ya Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika iliyoanza leo tarehe 26 – 29 Oktoba, 2019 Katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2PvtW8P
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33










