Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya linamshikilia Shadrack Yusuph Chaula (24), mkazi wa Kijiji cha Ntokela kata ya Ndato wilayani Rungwe mkoani humo, baada ya kuchoma moto picha inayomuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya SACP Benjamin Kuzaga, na kusema kuwa Juni 30 mwaka huu mtuhumiwa huyo ambaye ni msanii wa sanaa ya uchoraji alijirekodi video fupi akitamka maneno makali ya kumkashifu Rais Samia huku akichoma picha inayomuonesha Rais na kuisambaza mitandaoni.
Mapema leo asubuhi Julai 2, 2024, Mkuu wa mkoa wa Mbeya, alitoa saa 24 kwa Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani humo kuhakikisha kwamba kijana huyo anakamatwa kwani kitendo alichokifanya si cha kimaadili wala kiungwana na kiko tofauti na utamaduni halisi wa wakazi wa mkoa huo.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







