Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Malecela na mkewe, Anna Kilango Malecela wakiwa wakimjulia hali mtoto wao William Malecela maarufu kama Le Mutuzu Super Brand aliyelazwa katika Taaaisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam, alikolazwa kwa matibabu, Jumapili Mei 5, 2019
from CCM Blog http://bit.ly/2PRCrc6
via