
MSANII wa filamu na muziki Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amejikuta akitoa ‘meno yote nje’ baada ya kutambulika kwenye Mtandao wa Instagram kwa kuwa na wafuasi wengi na kupata kitiki cha blue ambacho ni mastaa wachache wenye nacho. Akistorisha na Risasi Jumamosi, Pretty alisema ana furaha kubwa kutambuliwa na mtandao huo kwani huko nyuma alikuwa akijisikia vibaya sana kuona wenzake wamewekewa, yeye hana.
“Kwa sasa nina furaha maana kwa kutambulika na mtandao nimejua kuwa nami ni staa, nilikuwa nawaonea donge sana wale ambao walikuwa wakiwekewa tiki ya kukubalika. Tiki hii imenipa nguvu zaidi ya kufanya kazi maana mtandaoni ni sehemu muhimu kutangazia kazi mpya,” alisema Pretty mwenye wafuasi 151,000.
STORI: Mwandishi Wetu, Dar
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






