MSANII LULU ATOA MPYA KUHUSU KANUMBA..AFUNGUKA MAKUBWA..MSIKIE HAPA

Admin Updates10 years ago7 Views

MKALI
wa filamu nchini Tanzania Elizabeth Michael,maarufu kama lulu,Ameibuka
na kusemakuwa bado hanaamani moyoni mwake kutokana na alie kuwa mtuwake
Kanumba kufariki,

Lulu
amesema kuwa miongoni mwa vitu vinavyo kuwa vikimchanganya nikupotea
kwa ahadi na ndoto alizokuwa akipanga na kanumba kwani nimengisana
walipanga lakini sasa yote  yamekufa,kanumba ndie msanii ambae
amefanikiwa kuipeleka sanaa ya filamu kimataifa baad
a ya kufanya kazi na wasanii wa filamu kutojka nchini NIGERIA ambapo kwa  sasa ndipo sanaa ya filamu na music ipo juu kwa africa ,
LULU
ameieleza CHENGULA NEWZ kuwa kanumba ndie mtu alie mkuza na kumlea
hivyo kanumba alikuwa na nafasi kubwa sana kwenye maisha yake kuliko
mwanaume mwingine yeyote kwakuwa yeye ndio mtu wa pekee alie anza
kumuweka kwenye nafasi ya kufahamika kupiti  kazi yake ya sanaa ambayo
ilikuwa ni ndoto yake sikumoja atafanikiwa na baada ya kukutana na
KANUMBA mamboyake yalikwenda sawia

Pia
kwasasa anasemakuwa imekuwa ningumu kwa yeye kujiingiza kwenye
mahusiano mengine japokuwa amekuwa akisumbuliwa na wanaume wengi
wakimtaka kuingia kwenye mapenzi lakini moyo wake bnado unaishi kwa 
KANUMBA

 

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...