
Jux na Vanessa Mdee ni mtu na mpenzi wake, imethibitika.
Jux
amethibitisha uhusiano wake na muimbaji huyo wa ‘Hawajui’ kwenye
mahojiano na kituo cha redio cha Kings FM cha mjini Njombe. Kwa kipindi
kirefu wawili hao wamekuwa wakikanusha kuwa na uhusiano.
“Nshaconfess
siku nyingi tu. Mwanzo nilikuwa nakataa kwasababu ilikuwa bado unajua
first time unakutana na mtu na lazima itafika time mtasema now it’s a
time naweza nikasema tu tuko hivyo.
Mimi sipendi unasema leo hivi halafu kesho yanatokea mambo mengine, lazima uone kwamba sasa naweza nikasema,” alisema Jux.
Katika hatua nyingine muimbaji huyo alizungumzia pia kuhusu nyumba yake.
Muimbaji
huyo amekuwa akipost picha ya nyumba yake hiyo yenye ghorofa moja na
kuwaacha watu wengi na maswali kibao ni wapi amepata uwezo wa kujenga
nyumba hiyo ilhali si msanii aliye busy na show kama wengine na hana
biashara kubwa anayoifanya kumwezesha kuwa na utajiri huo.
Hata
hivyo kupitia mahojiano na mtangazaji wa Kings FM, King Davidy, Jux
amesema nyumba ni ndoto aliyokuwa nayo hata kabla hajajulikana kwenye
muziki na hadi nyumba hiyo imefika hapo imetokana na desturi aliyokuwa
nayo ya kutunza fedha kwa miaka mingi.
“Watu hawawezi kujua mimi
nimeanza muda gani hadi kufika pale, unaweza kukuta hata miaka 10
iliyopita. Kwahiyo sio kitu cha jana na ni kitu cha taratibu, unapata
laki tano unaweka, unapata milioni mbili.. sababu nyumba haiozi kama
chakula, ni kitu ambacho kinaenda taratibu. Sio kama mimi tajiri sana na
nina hela, hizo ni dreams tu,” alisema muimbaji huyo.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





