
Mama yake Rajab Abdulkahari a.k.a Harmonize aitwaye Habiba Chivalavala akikabidhi mashuka kwa DC wa Tandahimba Sebastian Waryuba kwa ajili ya hospital ya Wilaya
Mkuu wa Wilaya Sebastian Waryuba (katikati)akiwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya Omary Nang’uta na Mama Harmonize
Wananchi ambao walijitokeza katika makabidhino hayo wakiongozwa na Diwani wa Kata ya Tandahimba Hawa Ramadhani(CCM viti maalum)
Mashine ya kusaidia kupumua kwa wagonjwa ambayo imetolewa na Msanii Harmonize.
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Sebastian Waryuba amepokea mashine ya kupumulia na mashuka vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya milioni 10 kutoka kwa Msanii Rajabu Abdulkahari (Harmonize)
Vifaa hivyo ambavyo vimekabidhiwa na mama yake Habiba Chivalavala amesema vitasaidia wagonjwa katika hospitali ya Wilaya
“Tunashukuru kwa vifaa hivi ambavyo ni muhimu kwa wagonjwa mashuka 48 na mashine ya kupumulia,nami nawakabidhi idara ya Afya ili vikatumike,amesema Waryuba,”
Naye mama Harmonize amesema kuwa anafarijika kwa mwanaye kurudishia kile anachokipata kwa wananchi hususan huku ambako amezaliwa
“Nafarijika nikiona anatambua umuhimu wa kuwakumbuka wengine hususan hospital sehemu ambayo haikwepeki,”amesema mama Harmon
ize
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2sFwQyK
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









