Baby Joseph Madaha akichepuka na njemba.
Baada ya
hivi karibuni kunaswa chobingo akiwa na mwanamuziki Haroun Kahena
‘Inspector Haroun’, mwanadada asiyekaukiwa na vituko Baby Joseph Madaha
juzikati alibambwa tena akichezewa kimahaba na njemba ndani ya gari
kiasi cha kuwafanya wadau kuhoji, yeye ni cha wote?.Tukio hilo lilijiri hivi karibuni katika Pub moja iliyopo Kijitonyama
jijini Dar ambapo mastaa kibao hukutana na kuponda raha. Awali, Baby
Madaha alionekana akiwa anapiga ulabu huku akichezea simu yake lakini
baada ya muda alinyanyuka na kuelekea kwenye gari iliyokuwa imepaki
gizani, ndani kukiwa na mwanaume.

Baada ya paparazi wetu kuusoma mchezo,
alilifuata gari hilo na kuwakuta wawili hao wakifanya yao na ndipo zoezi
la kuwafotoa lilipoanza.
alilifuata gari hilo na kuwakuta wawili hao wakifanya yao na ndipo zoezi
la kuwafotoa lilipoanza.
Baby Madaha akikurupuka kuzikimbia kamera.
Wakati paparazi akitekeleza jukumu lake, Baby Madaha alianza
kubwatuka na kutaka asipigwe picha huku akikimbia kuelekea nyuma ya pub
waliyokuwa wakinywa.
Hata hivyo, baada ya Madaha kukimbia paparazi
wetu alimfuatilia mwanaume aliyekuwa na mrembo huyo na kugundua kuwa
alikuwa ni msanii wa Bongo Fleva anayefahamika kwa jina la Pasha
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33