Serikali ya mkoa wa Morogoro imetoa utaratibu kwa baadhi ya wadau wa maendeleo watakao penda kuchangia msaada wa vifaa tiba kwaajili ya majeruhi kupitia akauti ya bank ya NMB huku baadhi ya wadau hao wakiwemo shirika la hifadhi za taifa tanapa wakitoa msaada wa kiasi cha shilingi milioni kumi kwa ajili ya wathirika wa ajali ya lori lililolipuka kwa mato na kusababisha vifo zaidi ya 80 mpaka sasa.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dk, Kebwe Steven Kebwe akipokea hundi ya shillingi millioni 10 kutoka kwa Mhifadhi mkuu wa hifadhi milima ya Udzungwa, Donatus Dayona kwa niaba ya shirika la hifadhi za taifa TANAPA kwa lengo la kusaidia waathiriwa wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dk,Kebwe Steven Kebwe akiwasikiliza kwa makini maofisa wa jeshi usu waliofika katika ofisi yake kwa mazungumuzo mbalimbali ikiwemo kutoa hundi ya shillingi milion 10 kwa ajiri ya kusaidia maafa yaliyotokea mkoani humo.
Mkuu wa mkoa wa morogoro Kushoto mwenye koti jeusi Dk,Kebwe Steven Kebwe akiongozana na maofisa wa jeshi usu mara baada ya kutoka kuona miili ya marehemu iliyokuwa nje ya chumba cha kuhifadhia maiti .
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2YPEnd3
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33










