Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme kushoto akisaidiana na baadhi ya vibarua kusafisha mahindi alipotembelea Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula NFRA kanda ya Songea kuangalia zoezi la ununuzi wa mahindi linavyoendelea ambapo hadi kufikia mwishoni mwa wiki NFRA tayari imenunua tani zaidi ya 12,000 za mahindi kutoka kwa wakulima.
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme wa pili kushoto na kaimu meneja wa wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula NFRA kanda ya Songea Eva Michael wa kwanza kushoto wakifanya kazi ya kusafisha mahindi yaliyoletwa na wakulima katika kituo kikuu cha kununulia mahindi eneo la Ruhuwiko mjini Songea wakati Mkuu wa mkoa alipotembelea kituo hicho kwa ajili ya kuangalia zoezi la ununuzi wa zao hilo linavyofanyika,ambapo Mkuu huyo wa mkoa alitangaza bei rasmi ya mahindi kuwa shilingi 600 kwa kilo.
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akikusanya mahindi kabla ya kuwekwa kwenye magunia alipotembelea kituo cha kununua mahindi cha Wakala wa Taifa wa hifadhi ya chakula NFRA kanda ya Songea ambapo alitangaza kuwa Serikali kupitia NFRA kununua zao hilo kwa shilingi 600 na kuwataka wakulima wa mkoa huo kupeleka mahindi yao NFRA ili wanufaike na bei hiyo. Picha na Muhidin Amri
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/30uFs5O
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









