Pichani ni Wahitimu wa Kidato cha Nne Kakangaga Muslim Seminary, licha ya kuwa shule ni ya Kiislamu kimaadili lakini wao ni wakristo, kutoka kushoto ni Lilian Adrian, Kiiza Tugara na Miriam Oscar kama walivyokutwa na kamera yetu.
Pichani ni Baadhi ya Wahitimu wa Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Kakangaga wakionekana na nyuso katika mahafali yao yaaliyofanyika Jumamosi hii shuleni Kakangaga Mkoani Kigoma.
Pichani Baadhi ya Viongozi wa Dini kutoka maeneo mbalimbali wakiwemo Viongozi wa BAKWATA wamiliki wa Shule ya Kakangaga Muslim wakiwa meza Kuu katika mahafali ya kuhitimisha Kidato cha Nne kwa Mwaka wa Nane toka kuanzishwa shule hiyo.
Pichani ni Mhitimu wa Kidato cha Nne Kakangaga Samir Haruna, ambae amekuwa Imam wa Shule toka Kidato cha Kwanza, akisoma Qur-an miongoni mwa Juzuu alizohifadhi, wakati wa mahafali yao ya kuhitimu Jumamosi hii.
Pichani ni Mkuu wa Shule Kakangaga Muslim Ustadh Abdul-Jalil Siraji Mustapha moja kati ya zao la Katoro Islamic Seminary, akitoa Salaam zake kwa Wazazi, walezi, na wanafunzi(hawapo pichani) wakati wa mahafali ya Nane ya Kidato cha Nne 2019.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/35yiFJB
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33












