Mbunge mstaafu Luhaga Mpina ajiunga Chama cha ACT Wazalendo
Hatimaye aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa mkoani Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Luhaga Mpina ameonekana kwenye vikao na viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo huku duru za kisiasa zikieleza kuwa chama hicho kimeridhia mwanasiasa huyo kujiunga nacho ili kupeperusha bendera yake katika nafasi ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Mpina ambaye ameenguliwa na CCM katika kinyang’anyiro cha kuwania kuteuliwa kugombea Ubunge anatajwa kuamua kubadilisha jukwaa la kufanyia siasa na sasa huenda akawa mgombea wa Urais kupitia ACT.
ACT Wazalendo inatarajiwa kufanya mkutano wake mkuu tarehe 6 Agosti 2025 kwa ajili ya kumpitisha mwanachama atakayepeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya Urais mwaka huu

Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






